Nehemiah 7:4-9

4 aMji ulikuwa mkubwa, tena wenye nafasi nyingi, lakini walikuwepo watu wachache ndani yake, nazo nyumba zilikuwa bado ni magofu. 5 bHivyo Mungu wangu akaweka moyoni mwangu kuwakusanya wakuu, maafisa na watu wa kawaida kwa ajili ya kuorodheshwa kulingana na jamaa zao. Nilikuta orodha ya vizazi ya wale waliokuwa wa kwanza kurudi toka utumwani. Haya ndiyo niliyokuta yameandikwa humo:

6 cHawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake, 7
This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Neh 7:38.
8
This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Neh 7:38.
9
This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Neh 7:38.
Copyright information for SwhKC